Jamaa wa familia

Siku moja, Toro alitaka kununulia familia yake zawadi. Amekuwa akiweka akiba ndani ya mkebe nyumbani. Alichukuwa pesa hizo kutoka kwa mkebe huo.

Translation: